Je,Huu Ni Uungwana? 8B

by Assorted

KES 360
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
je, huu ni uungwana? 8b ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya shajara, tawasifu, barua, utambaji wa hadithi, mbinu rejeshi, hotuba kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dagolojia, misemo, methali. taharuki, tashihisi. tanakati za sauti, kejeli, vichekesho na picha za rangi zenye kusisimua. kuwapitisha na kuwatea wanafunzi katika mazingira ya afya, madawa ya kulevya, siasa. unyumba. ujirani mwema. uvumilivu, uadilifu. haki za watoto, kazi,uwajibikaji, utu, adabu, teknolojia, habari na mawasiliano. Mradi wa Kusoma ni mfutulizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
UPC50TRS20203
SKU50TRS20203

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review

Products you recently viewed