Atamlilia Nani?

by Assorted

KES 331
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Alamlilia nani? 7d ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi, mbinu rejeshi na uzungumzi nafsia. kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo. methali, taharuki, tashibihi, takriri, kejeli, chuku, tanakali za sauti na picha za rangi zenye kusisimua. kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani, malezi, afya, hatari ya kupenda sana mtoto. ujana na matatizo yake, utajiri na matatizo yoke, madawa ya kulevya na matatizo yake, umuhimu wa teknolojia, habari na mawasiliano, uwajibikaji, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, jinsia, haki za binadamu, haki za watoto, haki za wanyama, ukuaji wa kijiji kuwa mji na matatizo yake, kuishi kwa utangamano na amani. Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ua Kiswahili Sanifu.
UPC50TRS20211
SKU50TRS20211

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review

Products you recently viewed